Srelio yainyoosha Mgulani JKT | Mwanaspoti
BAADA ya Srelio kuifunga Mgulani JKT kwa pointi 107-64, kocha wa timu hiyo Miyasi Nyamoko amesema ushindi huo umewanyooshea njia ya kucheza hatua ya nane bora. Tambo za kocha huyo zimekuja baada ya kuwepo na muunganiko mzuri wa wachezaji wake kwa sasa, tofauti ilivyokuwa katika michezo yao ya mwanzo. “Timu ilikuwa inabezwa na kila mtu…