
Hizi ndizo aina za waume, uko kundi gani?
Dar es Salaam. Mara nyingi kwenye ndoa kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wanawake walioolewa “wake”, na malalamiko haya yanaelekezwa kwenye namna waume zao wanavyoishi au wanavyofanya. Huyu analalamika mume wangu yuko hivi, na yule naye anasema mume wangu yuko vile. Mmoja anasema mume wangu anafanya hivi na mwingine analia mume wangu…