Miradi ya maendeleo kulamba Sh19.4 trilioni mwaka 2025/26
Dar es Salaam. Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema katika mwaka 2025/2026, Serikali inatarajia kutenga Sh19.47 trilioni sawa na asilimia 34.1 ya bajeti Kuu kwa ajili ya kugharamia programu na miradi ya maendeleo. Fedha hiyo ni ongezeko kutoka Sh15.95 trilioni sawa na asilimia 31.7 ya bajeti kuu ya…