WAJUMBE HALMASHAURI KUU CCM WILAYA YA MOROGORO WALAZIMISHWA KUZIMA SIMU ZAO ILI KUWADHIBITI WAVUJISHA SIRI WAKATI WA KIKAO
Na Mwandishi Wetu,Morogoro WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Morogoro wamelazimika kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya huku wakitakiwa kuzima simu huku lengo ikidaiwa kuwa ni kudhibiti ‘uvujishaji wa siri za kikao hicho. Hatua hiyo imedaiwa kutokana na agizo lililotolewa na Katibu wa Chama hicho wa Wilaya…