Prisons Hesabu kali mechi ya Yanga
TIZI linaloendelea huko Tanzania Prisons kwa ajili ya mechi ijayo dhidi ya Yanga limempagawisha kocha mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah akitamba kuwa kazi ni moja tu kubaki salama Ligi Kuu. Maafande hao wapo katika nafasi ya 13 katika msmamo kwa pointi 30, ambapo Juni 18 wanatarajia kuikaribisha Yanga katika pambano hilo litakalopigwa kwenye Uwanja…