MITANO TENA NI KWA DK. SAMIA TU, WENGINE SUBIRINI KUCHUJWA – WASIRA
Na Mwandishi Wetu, Nyasa MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, ‘Mitano Tena’ ni kwa mgombea urais, Dk. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza wake, Dk. Emmanuel Nchimbi, lakini wabunge na madiwani wasubiri kuchujwa kupitia vikao vya Chama. Ameeleza hayo leo Juni 11,…