Dk Dimwa: Wanawake ni nguzo ya ukombozi, jitokezeni kugombea
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, ametoa wito kwa wanawake nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani ya chama hadi Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa baadaye mwaka huu. Dk Dimwa ametoa wito huo leo Juni 11, 2025 alipokuwa akizungumza na Kikundi…