Simba waache ubinafsi kwenye hili

KLABU za Barcelona na Real Madrid zina upinzani wa hali ya juu uwanjani na wakati fulani wachezaji huonekana kama wana chuki dhidi ya timu moja, kiasi kwamba baadhi ya mechi kati ya vigogo hao wa soka Hispania hutawaliwa na minyukano sehemu tofauti za uwanja. Picha za marudio ya baadhi ya mechi huonyesha jinsi mshambuliaji gwiji…

Read More

Sheikh Ponda avunja ukimya kuchanganya dini, siasa

Dar es Salaam. Sheikh Issa Ponda ni mmoja wa viongozi wa dini ya Kiislamu maarufu nchini ambaye kwa nyakati tofauti, amekuwa akiingia matatani na kufunguliwa kesi tofauti, ambazo mara kadhaa amekuwa akizishinda na kuachiwa huru. Yeye na wenzake 49 waliwapandishwa kizimbani Oktoba 18, 2012 ikiwa ni mara yake ya kwanza, na kusomewa mashtaka manne kwa…

Read More

Uchunguzi waibua mapya mwanablogu aliyefariki kituo cha polisi

Nairobi. Uchunguzi wa mwili umebaini kuwa Mwalimu na Mwanablogu wa Kenya, Albert Ojwang aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi alipigwa kichwani na kifo chake huenda kilisababishwa na kupigwa. Daily Nation imeripoti kuwa ripoti hiyo inapingana na madai ya polisi kuwa mwanablogu huyo alijeruhiwa kichwani baada ya kujigonga ukutani akiwa mahabusu. Kifo chake kimezua ghadhabu kubwa nchini…

Read More

Sheikh Ponda: Ni umuhimu viongozi wa dini kushiriki siasa

Dar es Salaam. Sheikh Issa Ponda ni mmoja wa viongozi wa dini ya Kiislamu maarufu nchini ambaye kwa nyakati tofauti, amekuwa akiingia matatani na kufunguliwa kesi tofauti, ambazo mara kadhaa amekuwa akizishinda na kuachiwa huru. Yeye na wenzake 49 waliwapandishwa kizimbani Oktoba 18, 2012 ikiwa ni mara yake ya kwanza, na kusomewa mashtaka manne kwa…

Read More

USAWA WA KIJINSIA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI- DKT. JINGU

……………………… Na WMJJWM, Dodoma. Katibu Mkuu wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amesema Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imezingatia masuala ya Usawa wa kijinsia katika nyanja mbalimbali ikiwa juhudi za Serikali katika kuleta Usawa huo katika jamii. Dkt. Jingu ameyasema hayo Juni 11, 2025 jijini Dodoma…

Read More

Matarajio bajeti ya Zanzibar 2025/2026, ikiwasilishwa Baraza la Wawakilishi

Unguja. Wakati Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye makadirio yanayofikia Sh6.8 trilioni ikisomwa kesho, wananchi na wataalamu mbalimbali wameendelea kutoa maoni tofauti kuhusu vipaumbele vinavyopaswa kuzingatiwa. Bajeti hiyo ni ongezeko la asilimia 31 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025 ya Sh5.182 trilioni, ambayo …

Read More

Maumivu ya maji, wananchi wakesha kuyasubiri Dar

Dar es Salaam. Upatikanaji huduma ya maji umeendelea kuwa wa kusuasua katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam hali inayosababisha wakazi wa maeneo hayo kukesha usiku wakisubiri maji. Kutokana na kukosekana kwa maji katika baadhi ya maeneo wapo wanaolazimika kununua ndoo moja ya maji kwa gharama ya Sh300 hadi Sh1,000 hali inayowagharimu…

Read More