SERIKALI KUENDELEA NA UTOAJI MAFUNZO YA MTAALA ULIOBORESHWA KWA WALIMU WOTE NCHINI
Serikali itaendelea la kutoa mafunzo ya Mtaala uliboreshwa kwa walimu wote nchini ili kuhakikisha wanakuwa bora katika eneo la ufundishaji na ujifunzaji shuleni huku akiwataka walimu wote waliopata mafunzo ya somo la elimu ya biashara nchi nzima kuwa na mtizamo mpya katika kufundisha somo hilo . Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Elimu kutoka ofisi…