Majimbo ya uchaguzi Zanzibar yanahitaji uwazi, uadilifu

Uchaguzi ni miongoni mwa mambo muhimu yanayopaswa kufanyika kwa uwazi, uadilifu na bila kuacha mashaka yoyote. Pale ambapo mchakato huu unakosa misingi hiyo, ndipo nchi hujikuta ikikumbwa na matatizo ambayo yangeliweza kuepukika. Moja ya masuala ambayo yamekuwa yakiibua mjadala mkubwa Zanzibar ni kuhusu upangaji wa majimbo ya uchaguzi.Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) mara nyingi…

Read More

Injili ya Fyatu kwa mafyatu na maajabu ya Kaya

Katika kufanya utafiti wangu usio rasmi, nimegundua mambo ya ajabu. Naweza kujiita mgunduzi wa karne hii kwenye sayansi ya jamii. Nianze na niliyogundua. Mosi, nimegundua kuwa fyatu anaweza kwenda shule asielimike. Kifyatu, hii inaitwa education for ignorance. Fyatu anaweza kuoga lakini akabaki mchafu achia mbali kutakata. Pili, Fyatu anaweza kula kwa miguu na mikono lakini…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Wanaodhaminiwa kuongoza wakumbushwe historia

Napenda kulipongeza Jeshi kwa ujumla wake kwa mkakati wao wa kurudisha uzalendo kwa Watanzania. Kipindi cha nyuma kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa ilikuwa si hiyari. Mtu yeyote aliyekuwa tayari kulihudumia Taifa alilazimika kupitia hapo ili kufundishwa uzalendo na jinsi ya kujilinda mwenyewe na Taifa lake. Ubinafsi ni neno lililotakiwa kufutika kabisa kwenye kamusi yake…

Read More

Majimbo haya Singida usibeti, kila mtu bingwa

Singida. Ni kama watu wanaoisubiri ile siku ya kuja Masihi! ndivyo ilivyo kwa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wenye nia ya kugombea ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Singida huku kila mmoja akiota kwamba kuna mtu ‘amekanyaga waya’ ili siku zisitembee. Hiyo inajidhihirisha kwa namna joto lilivyopanda huku makada wakianza kujipitisha kwenye mikusanyiko na…

Read More

Moto wateketeza maduka Chato | Mwananchi

Geita. Maduka zaidi ya 17 katika eneo la Buseresere wilayani Chato, Mkoa wa Geita yameteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijafahamika. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, Hamis Dawa amethibitisha kutokea kwa moto huo akisema taarifa zaidi atazitoa muda mfupi ujao. Kwa mujibu wa mashuhuda moto huo ulizuka saa tatu usiku ambapo…

Read More