TUWE NA MAONO YA KUIONA KESHO YETU – DKT. BITEKO

……………. 📌Ni katika Bonanza la Wizara ya Nishati na Taasisi zake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuwa na maono ya kuweza kuona mbali hali itakayowasaidia  katika utendaji wa kazi na kupata suluhisho ya changamoto zinazoweza kutokea kabla ya changamoto hizo…

Read More

FUNGUO Yatangaza Fursa za Ufadhili wa Zaidi ya TZS Bilioni 2.5 kwa Wajasiriamali wa Tanzania na Biashara Endelevu kwa Mazingira

Amesisitiza uungaji mkono wa Finland kwa Biashara Ndogo, Ndogo Sana, na za Kati (MSMEs), kwa kuongezea kuwa, “Tunataka kuchochea ukuaji wa biashara bunifu katika mnyororo wa thamani wa misitu, na tunatoa wito kwa wajasiriamali wengi zaidi kuwasilisha maombi na kuchangamkia fursa hii kupitia mpango wa #GreenCatalyst.” Akisisitiza zaidi, John Rutere, Naibu Mwakilishi Mkaazi wa UNDP…

Read More

Gridi ya Taifa yapata hitilafu, Tanesco yaomba radhi

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limetangaza kutokea kwa hitilafu kwenye gridi ya Taifa iliyosababisha mikoa mbalimbali nchini kukosa huduma mpaka sasa, huku juhudi za kurejesha zikiendelea. Katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya mawasiliano na huduma kwa wateja Tanesco makao makuu leo Jumapili Juni 29, 2025, imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea saa 02:36 asubuhi, kwenye mfumo…

Read More

TANESCO YAOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUTOKANA NA HITILAFU GRIDI YA TAIFA

:::::::: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa umma kuwa mnamo majira ya saa 02:36 asubuhi, kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa ambayo imesababisha kukosekana kwa huduma ya umeme katika mikoa yote inayounganishwa na Gridi hiyo.  Shirika hilo limesema kuwa Timu ya wataalamu inafuatilia kwa karibu ili kubaini chanzo halisi cha hitilafu…

Read More