Nyota Savio aongoza kutupia BDL
WAKATI ushindani wa ufungaji ukiendelea katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), huko kunaonyesha kwamba nyota wa Savio, Ntibomela Bukenge ndiye anayeongoza kwa ufungaji akiwa keshatupia pointi 124. Mchezaji huyo amegeuka moto katika mashindano hayo na ubora wake umekuwa ukionekana kila anapokuwa karibu na nyavu, kwani ni nadra kukosa kikapu anaposhuti. Bukenge…