Viongozi wapya CWT wapewa majukumu
Dodoma. Wakati Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kikikamilisha uchaguzi wake kwa ngazi ya Taifa, mambo matatu yanawasubiri viongozi waliochaguliwa ili kupeleka imani kwa wanachama. CWT imekamilisha uchaguzi wao saa 11.45 ya leo alfajili, Jumatano Juni 10, 2025 uliokuwa na ulinzi mkali kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa milango ya nje huku ndani ya ukumbi…