Mapya yaibuka mikutano ya Chadema, CCM

Mikoani. Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikieleza kwamba kaulimbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya ‘No reforms, no election’ haina tofauti na nyingine zilizopita, Chadema imekumbana na vurugu kwenye mkutano wake wa kwanza mkoani Tabora. Vyama hivyo vimeendelea na ziara zao katika mikoa mbalimbali huku Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira akiendelea na…

Read More

UN inasukuma kwa meli 10,000 kufuatilia mabadiliko ya bahari – maswala ya ulimwengu

“Meli 10,000 za bahari,” ilizinduliwa katika UNOC3 huko Nice, inakusudia kujenga Mfumo wa Uangalizi wa Bahari ya Dunia (Goos) kwa kushirikiana na tasnia ya baharini kukusanya data. Mikopo: Kizito Makoye/IPS na Kizito Makoye (Nzuri, Ufaransa) Jumanne, Juni 10, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Nice, Ufaransa, Jun 10 (IPS) – Mpango mkubwa wa kubadilisha uchunguzi…

Read More

Chadema kukutana kujadili uamuzi wa Mahakama

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitisha kikao cha dharura kujadili uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo kushiriki kwa namna yoyote shughuli zote za kisiasa kwa muda na kutoka na uamuzi wa nini watafanya. Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo Jumanne Juni 10, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga kufuatia kesi…

Read More

Chatanda ahimiza wanchi kushiriki Uchaguzi Mkuu

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda, amewasihi wananchi hususan wanawake kujitokeza kwa wingi katika uchsguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Amesema ni haki ya Kila mtanzania kushiriki katika uchaguzi huo na kuwachagua Viongozi watakaochagiza juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikari chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kuwaletea maendeleo. Chatanda ameyasema hayo wlayani…

Read More

Biashara zayumba Pakistan, mzozo na India watajwa sababu

Wachumi wamesema mapigano kati ya India na Pakistan yaliyodumu kwa siku nne kabla ya kusitishwa kwa faida ya pande zote mbili, yamesababisha uchumi wa Pakistan kuzidi kudorora. Wakinukuriwa katika mtandao wa Dawn, wachumi hao wamesema suala hilo linatokana na Pakistan kuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa kutoka India, kwamba mzozo kati ya mataifa hayo ulisababisha India…

Read More

Samia apokea Sh1.12 trilioni za gawio, atoa mbinu kwa mashirika

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika na taasisi za Serikali kutoa gawio kulingana na fedha zilizokusanywa na matakwa ya sheria, badala ya kujikamua ilimradi zionekane zimechangia. Vilevile, ameeleza umuhimu wa taasisi hizo kutoa gawio, akisema ndiyo msingi wa nchi kuendesha mambo yake bila kutegemea mikopo, suala ambalo litalifanya nchi ijenge heshima duniani….

Read More