Vijana 350 Tanga kuwezeshwa kujiajiri, kuajiriwa

Tanga. Zaidi ya vijana 350 wa Jiji la Tanga wanatarajiwa kunufaika katika nyanja nne jumuishi za kuwapatia ujuzi na kujiajiri kupitia uchumi wa bluu chini ya programu ya vijana  ijulikanayo kama SASA. Mradi huo utakaoendeshwa na Chuo Cha Ufundi Stadi (Veta) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Tanga umetambulishwa leo na Mkuu wa Mkoa…

Read More

Gawio la Sh38.8 kutoka Nida lazua minong’ono

Dar es Salaam. Wakati Mamlaka ya Vitambulishi vya Taifa (Nida) ikiwa miongoni mwa waliowasilisha gawio la Sh38.8 bilioni serikalini, minong’ono imeibuka huku wengi wakihoji fedha hizo zimetoka wapi. Hiyo ni kutokana na kile kilichodaiwa na wengi kuwa Nida hutoa vitambulisho kwa wananchi bure na wanaopaswa kulipia Sh20,000 ni waliopoteza, fedha ambazo hata zikikusanywa haziwezi kufikisha…

Read More

Afariki dunia kwenye nyumba ya kulala wageni

Njombe.  Erasto Raphaely (50), mkazi wa Kijiji cha Igelehedza kilichopo Kata ya Ilembula, Wilaya ya Wanging’ombe, amefariki dunia katika mazingira yanayotajwa kuwa ya kutatanisha akiwa ndani ya nyumba ya kulala wageni pamoja na mwanamke anayedaiwa kuwa mke wa mtu. Tukio hilo limetokea saa mbili usiku wa Jumapili ya Juni 8, 2025, ambapo marehemu aliripotiwa kuzidiwa…

Read More

WASIRA ANOGESHA KAMPENI YA OKTOBA TUNATIKI KWA RAIS DK. SAMIA,ATIA NENO

Na Said Mwishehe, Tunduru MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amewataka Watanzania wakiwemo wanachama na wapenzi wa Chama hicho kujiandaa kwenda ‘kutiki’ kwa kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu. Amesisitiza hakuna mtu au kikundi cha kuzuia uchaguzi huku akiwataka wananchi kutobabaishwa na kaulimbiu ya ‘No Reform No Election’ ya…

Read More