Anayedaiwa kuwaua wazazi wake Moshi apatikana akiwa hoi
Moshi. Kijana Evance Geofrey (26) anayetuhumiwa kuwaua wazazi wake, Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi (53) eneo la Msufuni Msaranga, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amepatikana akiwa hajitambui. Taarifa zinadai kijana huyo aliokotwa barabarani na wasamaria wema na kupelekwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) kwa matibabu kutokana na hali aliyokuwa nayo. Inaelezwa…