Ngasa, Dodoma Jiji suala la muda
DODOMA Jiji imeingia sokoni mapema, huku ikiwa iko kwenye hatua za mwisho kumalizana na winga wa Tanzania Prisons, Benno Ngasa. Benno ambaye mkataba wake na Tanzania Prison unamalizika mwishoni mwa msimu huu, ameichezea timu hiyo kwa miaka miwili huku akiwa miongoni mwa wachezaji tegemeo. Taarifa za ndani kutoka Dodoma Jiji ilizonazo Mwanaspoti zinabainisha klabu hiyo…