Waarabu wavamia kambi ya Simba, mchongo mzima upo hivi

BAADA ya Simba kufanikiwa kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu na kupoteza mbele ya RS Berkane, kuna jambo linakwenda kutokea likimuhusu kiungo muhimu wa kikosi hicho ambaye anatakiwa na Waarabu. Achana na Steven Mukwala ambaye hivi karibuni Mwanaspoti ilikuhabarisha kwamba Waarabu wa Morocco, RS Berkane wamevutiwa na uwezo wake na kuweka mezani…

Read More

CWT yapata uongozi mpya, rais aangushwa

Dodoma. Hatimaye tambo na majigambo ya wagombea nafasi ya urais,  Chama cha Walimu Tanzania (CWT) zimekwisha baada Suleiman Ikomba kutangazwa mshindi akimbwaga Leah Ulaya. Wawili hao walikuwa wamevuta hisia za walimu, huku tambo za kila namna zikisikika mitaani na ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma ambao kwa siku tatu ulikuwa na ulinzi kila…

Read More

Guterres inahitaji mwisho wa bahari ‘nyara’ kama Mkutano wa UN unafunguliwa nchini Ufaransa – Maswala ya Ulimwenguni

“Bahari ndio rasilimali ya mwisho iliyoshirikiwa“Aliwaambia wajumbe walikusanyika katika Bandari ya Nice.” Lakini tunashindwa. “ Bahari, alionya, zinachukua asilimia 90 ya joto kupita kiasi kutoka kwa uzalishaji wa gesi chafu na kunyoa chini ya shida: uvuvi, kuongezeka kwa joto, uchafuzi wa plastiki, acidization. Miamba ya matumbawe inakufa. Hifadhi za samaki zinaanguka. Kuongezeka kwa bahari, alisema,…

Read More

Mtibwa yaiwinda saini ya beki Coastal Union

BAADA ya Mtibwa Sugar kurejea tena Ligi Kuu baada ya kushuka msimu uliopita, mabosi wa timu hiyo wako katika mchakato wa kuboresha kikosi hicho, ambapo tayari wanampigia hesabu kali beki wa kushoto wa Coastal Union, Miraji Abdallah ‘Zambo’. Zambo, ambaye pia ni nahodha wa kikosi hicho baada ya kuondoka kwa Jackson Shiga aliyejiunga na Fountain…

Read More