Tulenge kuondoa ubaguzi huu kwenye elimu
Arusha. Nimepata fursa ya kuishi katika mazingira ya elimu kwa maisha yangu yote kuanzia chekechea miaka mingi iliyopita hadi sasa nikiwa kama mwalimu au profesa wa chuo kikuu. Nimepata pia fursa ya kusoma nje ya nchi yetu na kufundisha katika nchi kadhaa duniani. Hivyo elimu ni hoja iliyo karibu sana na maisha yangu na uzoefu…