Vifo vyafikia 37 ajali ya magari mawili Same, chanzo chatajwa
Same. Idadi ya vifo vilivyokana na ajali ya magari mawili kugoganga uso kwa uso na kupelekea kuwaka moto Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro imeongezeka na kufikia vifo 37 baada ya majeruhi mmoja kufariki na kusalia 29. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Juni 28, 2025 na Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa…