June 2025
RAIS SAMIA KUPOKEA GAWIO LA KIHISTORIA, WACHUMI WATARAJIA MAKUBWA
::::::: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, Jumanne, June 10, 2025 anatarajia kupokea gawio na michango mingine kutoka kwa taasisi za umma na kampuni ambazo serikali ina umiliki wa hisa chache, huku matumaini ya wataalamu wa uchumi na biashara yakiwa makubwa. Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu, ambaye ndiye msimamizi…
Jinsi ya kukuza ukuaji wa uchumi katika majimbo dhaifu na yaliyoathiriwa na migogoro ya Afrika-maswala ya ulimwengu
Mikopo: IMF Picha/Ebunoluwa Akinbo Maoni Na Wenjie Chen – Michele Fornino – Hamza Mighri – anaweza kutengana (Washington DC) Jumatatu, Juni 9, 2025 Huduma ya waandishi wa habari WASHINGTON DC, Jun 9 (IPS)-Zaidi ya nusu ya idadi ya watu wa Kusini mwa Jangwa la Sahara wanaishi katika majimbo dhaifu na yaliyoathiriwa na migogoro (FCS)-uchumi ambao…
KWANINI KILA TAASISI INAPASWA KUCHANGIA MAPATO YASIYO YA KODI
::::::: Katika safari ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii, mchango wa taasisi za umma kupitia gawio na mapato mengine yasiyo ya kodi, ni chachu ya ustawi wa taifa. Serikali imewekeza jumla ya Sh86.3 trilioni katika taasisi za umma na kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache. Uwekezaji huu mkubwa unaipa Serikali msingi wa kisheria na…
CP. WAKULYAMBA AWAPA SOMO ASKARI WA JU.
…………… Na Sixmund Begashe, Katavi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia masuala ya Uhifadhi, Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba, ametoa semina elekezi kwa Maofisa na Askari Wanafunzi wa Kozi ya 11 ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), katika Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Mlele, mkoani Katavi. Katika semina hiyo,…
Madini ya Uraniam kuanza kuzalisha umeme
*Profesa Msambichaka aweka umuhimu wa umeme wa Nyuklia. Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imesema kuwa katika mikakati ya Serikali ya kutafuta vyanzo vya umeme hivyo Tume imeona chanzo kingine cha umeme wa Nyuklia. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika warsha iliyoandaliwa imeandaliwa na Tume ya Nguvu ya Atomu Tanzanja…
BIDHAA ZINAZOINGIA ZIWE ZIMEDHIBITISHWA NA TBS MHAGAMA
……… Waziri wa Afya Jenista Joakim Mhagama amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amehakikisha anaweka mazingira rafiki kwa mama mjamzito kwa kuhakikisha anaanzisha dharura ya usafiri (M-MAMA) ili mama mjamzito aweze kufika kwenye kituo kikubwa kwa haraka na kuokoa maisha yake. Amebainisha hayo leo June 9,2025 katika hafla…
TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA
…,………….. Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetunukiwa tuzo maalum ya ushirikishaji jamii katika ujenzi wa barabara yaani ” People Centered Design Approach”. Ushirikishaji huo ni kuhakikisha usanifu unajumuisha mawazo, mapendekezo na mahitaji maalum kwaajili ya jamii itakayohudumiwa na barabara husika baada ya kujengwa hususani maeneo ya shughuli za kijamii kama shule, masoko…
Askofu Mwamakula awasihi viongozi wa dini kukemea uovu bila hofu
Singida. Askofu Emmaus Mwamakula amewasihi viongozi wa dini zote nchini kutumia nafasi zao kuonya na kukemea uovu katika jamii kwa sababu hilo ni miongoni mwa wajibu na jukumu lao kwa jamii. Akihutibia mkutano wa hadhara mjini Singida leo Juni 9, 2025, Askofu Mwamakula amesema pamoja na mahubiri na mafundisho ya kiimani, kukemea uovu, kushauri na…
ZIARA YA WAZIRI MKUU JAPAN YAONESHA MAFANIKIO
*Ni baada ya wawekezaji na wafanyabiashara kuonesha nia ya kuwekeza nchini UWEPO wa miundombinu bora na imara ni miongoni mwa vitu muhimu vinavyohitajika katika kuliwezesha taifa lolote duniani kupata maendeleo ya kiuchumi yanayowawezesha wananchi wake kujikwamua kutoka katika wimbi la umasikini. Katika kuhakikisha Taifa linakuwa na miundombinu bora na yenye kutosheleza mahitaji Serikali ya Tanzania…