TANZANIA INAVYOTANGAZA FURSA ZAKE KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA OSAKA-2025
Na Mwandishi Wetu TANZANIA ni miongoni mwa nchi ambazo zinashiriki kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Osaka (World Expo Osaka 2025) yanayoendelea nchini Japan, ambapo pamoja na mambo mengine inatumia maonesho hayo kama fursa ya kudani vivutio mbalimbali vilivyopo nchini vikiwemo vya utalii, uwekezaji nchini Hatua inayokana na maonesho hayo kujumuisha mataifa mengi ambayo yanashiriki maonesho…