Tanzania kuanza na Sudan Cecafa Dar

MASHINDANO ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ya Wanawake yanatarajiwa kuanza Juni 12, mwaka huu katika Uwanja wa Azam Complex ambapo Tanzania itaumana na Sudan Kusini. Timu tano kutoka ukanda wa Cecafa zinatarajiwa kushiriki mashindano hayo yatakayomalizika Junie 21 yakijumuisha Burundi, Kenya, Sudan Kusini, Tanzania na bingwa mtetezi, Uganda. Mkurugenzi…

Read More

Zanzibar mbioni kuanzisha shirika la ndege

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya mazungumzo na wawekezaji mbalimbali wenye uwezo wa kushirikiana na Serikali kuanzisha Shirika la Ndege la Zanzibar. Mipango hiyo imeelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Nadir Abdulatif Yussuf katika mkutano wa 19 wa baraza la  wawakilishi leo Juni 9, 2025 alipojibu hoja za wawakilishi hao  Chukwani…

Read More

Sheria yaja kudhibiti vitendo vya ukiukwaji wa maadili

Dodoma. Serikali ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali za Haki Jinai lengo ni kudhibiti vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sajini ameyasema hayo leo Jumatatu Juni 9, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Arumeru Magharibi (CCM), Noah Saputu Katika swali hilo,…

Read More

CCM yazidi kutikisa Kilimanjaro, zamu ya Rombo leo

Rombo. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro na leo atafanya mikutano ya hadhara wilayani Rombo. Makalla alianza ziara ya siku saba katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Juni 4, 2025,  alianzia mkoani Manyara alikofanya mkutano wa hadhara wilayani Babati kisha akaelekea…

Read More

Makalla kuhutubia Rombo leo | Mwananchi

Rombo. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro na leo atafanya mikutano ya hadhara wilayani Rombo. Makalla alianza ziara ya siku saba katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Juni 4, 2025,  alianzia mkoani Manyara alikofanya mkutano wa hadhara wilayani Babati kisha akaelekea…

Read More

Waajiri wapigwa stop kukata watumishi kodi ya pango

Dar es Salaam. Wabunge leo Juni 9, 2025 wamepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa mwaka 2025, wakati wa kikao cha 42 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti jijini Dodoma. Muswada huo umefanyiwa marekebisho mbalimbali ikiwemo vifungu vya 12 na 13 vilipendekezwa kurekebishwa kwa lengo la…

Read More

Wakulima wahamasika kutumia Mbegu bora za Karanga

WAKULIMA wa zao la Karanga wameeleza utayari wao kutumia Mbegu bora za Karanga zilizofanyiwa Utafiti ambazo wanakiri kuwa zinatija kubwa kulinganisha na Mbegu za kienyeji ambazo wamekuwa wakitumia. Hayo yamesemwa Leo Juni 08, 2025 na Wakulima wa Karanga Kijiji cha Kiru six, Kata ya Kiru Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara katika siku ya Mkulima…

Read More