Ripoti inayoonya upanuzi wa mafuta ya kisukuku ya kimataifa inatishia bianuwai ya baharini – maswala ya ulimwengu

Ripoti inaandika athari za miradi ya mafuta na gesi isiyosimamiwa katika mazingira yenye matajiri na mazingira nyeti. Mikopo: Spencer Thomas na Umar Manzoor Shah (Sacramento, US & New Delhi, India:) Jumatatu, Juni 9, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Sacramento, US & New Delhi, India:, Jun 09 (IPS) – Ripoti mpya iliyotolewa na Earth Insight…

Read More

Stanbic Bank Yawazawadia Washindi 32 Katika Droo ya Kwanza ya Kampeni ya Salary Switch

Stanbic Bank Tanzania leo imewazawadia wateja 32 waliobahatika katika droo ya kwanza ya kampeni yake ya Salary Switch, ambapo walishinda zawadi mbalimbali za fedha taslimu hadi kufikia TZS 500,000. Droo hii imefanyika ikiwa ni mwezi mmoja tangu kuzinduliwa rasmi kwa kampeni hiyo inayolenga kuhamasisha wafanyakazi kuhamishia akaunti zao za mshahara Stanbic Bank. Tukio hilo limefanyika…

Read More

Viongozi Yanga watua Bodi ya Ligi na wanasheria

Yanga imefika rasmi katika kikao chao na Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), huku msafara wa timu hiyo ukiwahusisha viongozi watano na wanasheria watatu. Msafara wa Yanga umefika saa 4:12 asubuhi ikiongozwa na Makamu wa Rais, Arafat Haji na wajumbe wa Kamati ya Utendaji Alexander Ngai, Rodgers Gumbo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano….

Read More

Vigogo waanza kuwasili Bodi ya Ligi kujadili dabi

Mkutano wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) na viongozi wa Yanga umeanza kuwakusanya vigogo mbalimbali wakianza kuwasili eneo la tukio. Mkutano huo unaofanyika asubuhi hii kwenye ofisi za TPLB zilizopo Ilala, jijini Dar es Salaam ambapo viongozi wameanza kufika wakitanguliwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi hiyo, Almas Kasongo aliyefika saa 2:37 asubuhi. Baada ya…

Read More

Chadema, Chaumma waendeleza vijembe, CCM yasimama katikati

Dar es Salaam. Vita ya hoja na vijembe imeendelea kupigwa kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kila upande ukiutuhumu mwingine kwa mwenendo usiofaa. Chadema inautuhumu uongozi wa Chaumma kujaa usaliti, kwa kuwa wengi wao walikuwa makada wa chama hicho kikuu cha upinzani, lakini wamekihama katika nyakati…

Read More

Chadema yatoa pole ajali iliyouwa 28, majina yawekwa wazi

Dar/Mbeya. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeungana na wadau wengine kutoa salamu za pole kwa familia zilizopoteza ndugu na jamaa katika ajali ya gari mkoani Mbeya. Ajali hiyo, imetokea usiku wa Jumamosi Juni 7, 2025 katika eneo la Mlima Iwambi, mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 28 huku wengine wanane wakijeruhiwa. Ajali hiyo,…

Read More

Chomelo: Haukuwa msimu mzuri, tutajipanga

KIUNGO wa Konya Amputee inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki, Ramadhan Chomelo amesema haukuwa msimu mzuri kwa upande wao kutokana na ushindani kuongezeka huku kwa upande wake akitakiwa kufanya majukumu mengi uwanjani. Akiwa pamoja na Shedrack Hebron anayekipiga Sisli Yeditepe, ni Watanzania pekee wanaosakata soka la walemavu nchini humo ukiwa msimu wa tatu mfululizo sasa na…

Read More

Lunyamila kumaliza ukame wa mabao FC Juarez

USAJILI wa nyota mpya Mtanzania, Enekia Lunyamila aliyetua FC Juarez huenda ukamaliza tatizo la ufungaji mabao katika klabu hiyo kutokana na rekodi zake nzuri alikotoka. Mshambuliaji huyo wa timu ya Taifa ya wanawake ya Twiga Stars alisajiliwa na miamba hiyo ya Mexico wiki iliyopita akitokea Mazaltan ya nchi hiyo akijiunga na Watanzania wengine Opah Clement…

Read More