Mlandege ilivyopiga bao Zanzibar | Mwanaspoti
MLANDEGE imeandika historia ya kubeba ubingwa wa nane wa Ligi Kuu Zanzibar, baada ya wikiendi iliyopita kumaliza kileleni ikizipiga bao timu nyingine 15 zilizoshiriki ligi hiyo. Wababe hao wa mjini Unguja, walitwaa taji hilo dakika za jioni baada ya ligi hiyo kuongozwa kwa muda mrefu na Mwembe Makumbi iliyopanda daraja msimu huu iliyomaliza katika nafasi…