MAUREEN SIZYA AENDELEA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA

MTANZANIA Maureen Sizya amekuwa mmoja wa makocha wasaidizi ambao wameteuliwa kushiriki katika Kampeni ya BAL4HER ambayo ni mradi wa BAL Afrika unaolenga kuibua, kuendeleza, na kuwawezesha wanawake wa Kiafrika katika nyanja ya uongozi wa michezo. Kupitia mpango huo, makocha wanawake huchaguliwa kutoka nchi mbalimbali za Afrika ili kupata mafunzo, uzoefu wa kitaalamu, na fursa za…

Read More

WAPAMBE WAANZA RAFU ZA UCHAGUZI MOROGORO MJINI

Na Mwandishi Wetu,Morogoro WAKATI kipyenga cha uchukuaji fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo Urais, Ubunge na Udiwani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuwapata wagombea wa kupeperusha bendera ya chama hicho kikiwa bado hata hakijapulizwa tayari michezo michafu ya inayohusishwa na rushwa imedaiwa kuanza katika jimbo la Uchaguzi la Morogoro Mjini. Hatua…

Read More

WMA KIBAHA YAHAKIKI MITA ZA DAWASA ,TANESCO

Ukipata muda naomba nipandishie hiyo nimefika kama rooving mdau akasema kwenu kuna mtu mmoja hua anakuja kuchukua story ni kibonge hivi nikamwambia huyo ni Ahmad akasema ndiyo huyo Meneja wa Kituo cha Ukakiki wa Vipimo kilichopo Misugusugu Kibaha Mkoani Pwani Charles Mavunde akiwa ameshika mita ya TANESCO  ambazo ziko kwenye utaratibu wa kuhakikiwa. Na Khadija…

Read More

“Walichukua bahari yetu,” wasemaji wa samaki wa Vizhinjam – maswala ya ulimwengu

Bandari ya Vizhinjam-iliyoandaliwa na Waziri Mkuu Narendra Modi mnamo 2 Mei 2025, kama kitovu cha kwanza cha maji cha India cha ndani-kimekosolewa kwa kuhamisha wavuvi na kuvuruga biodiversity nyeti ya bahari. Mikopo: Aishwarya Bajpai/IPS na Aishwarya Bajpai (Thiruvananthapuram, India) Jumapili, Juni 08, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Thiruvananthapuram, India, Jun 08 (IPS) – Kama…

Read More

Makalla atoa neno mjadala wa No reforms, No election mitandaoni

Moshi. Wakati kampeni maarufu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya No reforms, No election ikiendelea kutawala kwenye  mitandao ya kijamii nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema wanaotekeleza kampeni hiyo wanajifurahisha tu na uchaguzi upo palepale. Kuanzia jana katika mitandao ya kijamii kumekuwa na wimbi la kufikisha ujumbe huo kwa kuandika kampeni hiyo kwenye…

Read More

Heche: Kifo cha viwanda nchini ndiyo chanzo ukosefu wa ajira

Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Chadema- Bara  John Heche ametaja kufa kwa viwanda kuwa sababu kubwa vijana kukosa ajira. Heche amesema viwanda ndiyo sehemu pekee ambayo watu waliosoma na ambao hawajasoma wanaweza kupata ajira bila kubaguana. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili Juni 8,2025 wakati akihutubia wananchi kwenye mkutano wa chama hicho katika Uwanja wa Mtekelezo jijini…

Read More

Salum: Chaumma tupo tayari kufia uwanja wa mapambano

Geita. Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amesema chama hicho kipo tayari kufia uwanja wa mapambano kikilenga kupigania haki za wananchi kuliko kushinda kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii na ‘Club house’ kupiga porojo. Kauli hiyo ni muendelezo wa kurushiana vijembe na mahasimu wao wa sasa wa kisiasa, Chama Cha…

Read More

Utupaji taka ovyo wawaibua viongozi Maswa, watoa onyo

Simiyu. Hali ya utupaji taka ovyo imeendelea kuutia doa Mji wa Maswa mkoani Simiyu, hali inayozua taharuki miongoni mwa wakazi wake huku viongozi wa Serikali wakihofia madhara ya kiafya na kuharibika kwa mandhari ya mji huo. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumapili Juni 8, 2025, baadhi ya wakazi wa Maswa wameelezea kukerwa na ongezeko la…

Read More