Compact Energies Yaonesha Suluhisho za Nishati Safi kwa Sekta ya Utalii kwenye Maonesho ya KILIFAIR 2025
Kampuni ya Compact Energies inayoshiriki katika maonesho makubwa zaidi ya kimataifa ya utalii na sekta ya viwanda Afrika Mashariki ya Arusha KILIFAIR yanayofanyika kwenye Viwanja vya Magereza jijini Arusha imesema kuwa kwa kuzingatia umuhimu unaokua wa utalii endelevu inatumia jukwaa la maonesho ya mwaka huu kuonesha dhamira yake ya kuimarisha mustakabali wa utalii kwa kutumia…