SEKTA YA MADINI YAWEKA REKODI MPYA MAKUSANYO YA MADUHULI
-Eng. SAMAMBA ASEMA HADI TAREHE YA LEO IMEKUSANYA TSH TRILIONI 1.063 Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Eng.Yahya Samamba amesema hadi kufikia tarehe ya leo Juni 28, 2025 Sekta ya Madini imekusanya Maduhuli ya kiasi cha shilingi Trilioni 1.063 ikiwa imebaki siku moja tu kukamilisha Mwaka wa Fedha 2024/25. Ameyasema hayo leo Juni 28, 2025…