MSAMA: RAIS SAMIA ANAONGOZA TAIFA KWA MUONGOZO WA MUNGU
Mkurugenzi wa Msama Production, Bw. Alex Msama, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, anaongoza taifa hili kwa hekima na maono yanayoendana na muongozo wa Mungu. Alieleza kuwa utekelezaji wa majukumu ya Rais Samia unaakisi misingi ya kiroho, heshima kwa neno la Mungu, na dhamira ya kweli ya kuwaletea…