Mbinu za kujenga maadili mema kwa watoto wako
Dar es Salaam. Katika safari ya maisha ya mtoto, makuzi ni hatua nyeti inayojengwa kwa msingi wa maadili, malezi na mazingira yanayomzunguka. Watoto wanapokua, hukutana na changamoto mbalimbali, mojawapo ikiwa ni ushawishi kutoka kwa marafiki au makundi ya wenzao. Baadhi ya makundi haya huwapeleka kwenye njia potofu kama vile wizi, matumizi ya dawa za kulevya,…