Majeraha yamtibulia Kachwele Marekani | Mwanaspoti

STRAIKA wa Whitecaps FC anayecheza kwa mkopo Vancouver Whitecaps inayoshiriki Ligi Kuu Marekani (MLS), Cyprian Kachwele amesema msimu huu ameuanza vibaya baada ya kupata majeraha ya nyama za paja. Kinda huyo wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ aliyewahi kupita timu ya vijana ya Azam FC huu ni msimu wake wa pili Marekani na uliopita akiwa…

Read More

Pina amaliza msimu kibabe, aziita timu mezani

MSHAMBULIAJI wa timu ya Mlandege, Abdallah Iddi ‘Pina’ amesema malengo aliyojiwekea msimu huu wa 2024-25 ikiwemo timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) na kuwa mfungaji bora wa ligi hiyo, yametimia ambapo kwa sasa anataka kucheza soka nje ya Zanzibar. Katika ufungaji, Pina amefanikiwa kuvunja rekodi ya mchezaji wa zamani wa KVZ FC…

Read More

ZIC watoa Elimu ya Bima ndani ya viwanja vya Karibu-Kili fair Arusha

Na Pamela MollelArusha. Kampuni ya Bima Zanzibar (ZIC) imewataka wageni wanaotembelea katika kisiwa hicho kuhakikisha wanakata bima ya usafiri kwa ajili ya kujiwekea ulinzi kwa dharura yoyote inayoweza kujitokeza katika utalii wao. ZIC imeyasema hayo ndani ya viwanja vya Kisongo vilivyoko Mkoani Arusha kwenye maonyesho makubwa ya kimataifa ya Karibu-Kili Fair yaliyoanza june 6-8, 2025….

Read More

Mgombea urais apigwa risasi, mtoto atiwa mbaroni

Bogota. Katika hali isiyo ya kawaida  mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo,  seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa vibaya katika shambulio la mtoto huyo. Kwa mujibu wa Ofisi…

Read More

Mungu anapenda ufanikiwe kiuchumi | Mwananchi

Katika Neno takatifu la Mungu tunalotumia kwa lugha ya sasa, hakuna mahali neno ‘uchumi’ limetajwa popote. Lakini kutokana na tafsiri halisi ya uchumi, tuliyojifunza hapo juu, uchumi umetajwa katika Biblia Takatifu kwa namna nyingi na kwa mara nyingi. Mungu ndiye muumba wa mali na rasilimali zote za dunia, na anataka mimi na wewe kama watoto…

Read More

Trump amuwashia moto Elon Musk, Vance amtoa kundini

Washington. Rais wa Marekani, Donald Trump ameendelea kumuwashia moto mfanyabiashara na bilionea, Elon Musk baada ya kutamka hadharani kuwa atakumbana na adhabu kali endapo atawafadhili wagombea wa Chama cha Democrats. Akizungumza jana Jumamosi kwenye mahojiano maalumu na NBC News, Rais Trump alisema kutakuwa na adhabu kali sana iwapo Musk atafadhili wagombea wa chama cha Democratic…

Read More

MTEI: Mwamba Prisons aliyeinusuru isishuke

JAPOKUWA katibu wa Tanzania Prisons, John Mtei hakuanza kufanya majukumu hayo mwanzoni mwa msimu huu 2024/25, mchango wake umekuwa mkubwa kwa wachezaji kutokana na uzoefu wake wa kukichezea kikosi hicho miaka ya nyuma. Katika mahojiano baina yake na Mwanaspoti Mtei anasema kipindi anachezea timu iliwahi kushuka daraja kabisa na pia kuna msimu iliponea chupuchupu kucheza…

Read More

Sowah, Mukwala waingizwa vitani Sauzi

KITENDO cha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kujiandaa kuachana na straika Ranga Chivaviro, kumeibua vita mpya kwa nyota wanaokiwasha katika Ligi Kuu Bara, Jonathan Sowah wa Singida Black Stars na Steven Mukwala wa Simba wanaohusishwa kuwindwa na AmaKhosi. Awali ilielezwa Kaizer ilikuwa ikiwapigia hesabu Joshua Mutale (Simba), Feisal Salum (Azam) na kipa Diarra Djigui (Yanga),…

Read More

Kumekuchaa! Kisa Dabi viongozi Yanga waitwa TPLB

WAKATI sintofahamu ikiendelea kutanda juu ya hatma ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, viongozi wa juu wa Yanga wameitwa makao makuu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB). Taarifa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inaeleza TPLB imewaita viongozi hao mezani, kuzungumza nao kwani Yanga ndiyo timu mwenyeji wa mchezo huo. Kwenye kikao hicho,…

Read More