Siku saba za maajabu Dabi ya Kariakoo
DABI ya Kariakoo bado ina kipengele. Hakuna anayejua kama itapigwa au la hiyo Juni 15. Hii ni kwa sababu ya msimamo wa Yanga juu ya kuisusia mechi hiyo ambayo awali ilikuwa ipigwe Machi 8. Hali hiyo imewafanya mashabiki wa soka nchini kubaki njiapanda kama Dabi ya Kariakoo itapigwa Juni 15 au la kutokana na msimamo…