Muhas yaja na mradi usambazaji wa bidhaa za afya
Dodoma. Jumla ya Sh2.5 bilioni kutumika kwa ajili ya kujenga uwezo katika mnyororo wa usambazaji wa bidhaa za afya utakaofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas). Lengo la mradi huo ni kutatua changamoto zinazotokana na majanga duniani zinazofanana ugonjwa wa Uviko-19 ambapo baadhi ya nchi zilifungia watu (lockdown). Mradi huo wa…