Kaseja awaita nyota Kagera Sugar Dar

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amewaita wachezaji wa timu hiyo haraka kambini jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mechi mbili zilizosalia zitakazopigwa kati ya Juni 18 na 22. Kagera iliyoshuka daraja ikishika nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa itakuwa wageni wa Namungo Juni 18 na Kaseja ameona hakuna…

Read More

Dk Nyambura Moremi aaga Maabara ya Taifa

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Umma (NPHL), Dk Nyambura Moremi ametangaza rasmi kung’atuka kutoka nafasi yake akiikamilisha enzi iliyobadili kabisa taswira ya uchunguzi wa magonjwa na sayansi ya maabara nchini. Anaondoka wiki moja baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO), kuidhinisha maabara hiyo kwa ajili ya kupima usugu wa…

Read More

Tabora United kuja kivingine Ligi Kuu

KIKOSI cha Tabora United kimeingia kambini kujiwinda na mechi mbili za Ligi Kuu Bara zilizosalia kumalizia msimu huu, huku kocha mkuu Simonda Kaunda akieleza kuwa hali ya timu na wachezaji wako fiti. Timu hiyo imebakisha mechi mbili kufunga msimu huu ambapo Juni 18 itakuwa ugenini kucheza dhidi ya Azam huku ikiwa na kumbukumbu ya kushinda…

Read More

No reform No Election yashika mitandao, Serikali yatoa neno

Dar es Salaam. Sasa unaweza kusema kampeni maarufu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya No Reforms, No Election (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi) sasa imechukua sura mpya baada ya kutawala katika mitandao ya kijamii maarufu hapa nchini. Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa…

Read More

KenGold waitana fasta kumalizia Ligi

LICHA ya kuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu, huku ligi ikiwa haijamalizika, kocha wa KenGold, Omary Kapilima amewaita kambini fasta wachezaji wote kujiandaa na mechi za mwisho za kufungia msimu ikiwamo dhidi ya Simba itakayopigwa Mbeya, Juni 18. Kapilima aliliambia Mwanaspoti jana kuwa wachezaji wote  wanatarajiwa kuingia kambini Juni 10 kuweka mikakati ya…

Read More

Kaseja awaita nyota Dar | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amewaita wachezaji wa timu hiyo haraka kambini jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mechi mbili zilizosalia zitakazopigwa kati ya Juni 18 na 22. Kagera iliyoshuka daraja ikishika nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa itakuwa wageni wa Namungo Juni 18 na Kaseja ameona hakuna…

Read More

SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA VIONGOZI WA DINI

::::::   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inawaamini na inathamini mchango wa viongozi wa dini wa madhehebu yote.   Amesema serikali itaendelea kuimarisha ushirikiano kati yake na viongozi hao ili kujenga amani, mshikamano na ustawi wa jamii ya watanzania.   “Tunaamini mtaendeleza jukumu la kuwasihi watanzania waone umuhimu wa kila…

Read More

SMZ yakusanya Sh53 bilioni bima ya afya kwa wageni

Unguja. Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikikusanya Dola za Marekani milioni 20.034 sawa na Sh53.270 bilioni kutokana na bima ya lazima za safari kwa wageni wote wanaoingia Zanzibar, zimetumika Dola za Marekani 1,591 milioni sawa na Sh4.127 bilioni pekee kati ya fedha hizo kutoa huduma iliyokusudiwa. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia ofisi ya…

Read More

TBS YASISITIZA UMUHIMU WA CHAKULA SALAMA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wadau wa mnyororo wa thamani wa chakula kuanzia wakulima shambani, viwandani, wafanyabiashara hadi watumiaji wa mwisho kuhakikisha kuwa chakula kinachoingia sokoni ni salama kwa matumizi ya binadamu. Wito huo umetolewa Juni 6, 2025 jijini Dar es Salaam na Kaimu Meneja Uchanganuzi wa Hatari Zitokanazo…

Read More