Stars Kukipiga Na Bafana Bafana usiku wa Leo
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani usiku wa leo kuivaa wenyeji Bafana Bafana ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaopigwa kwenye Uwanja wa Peter Mokaba, mjini Polokwane, kuanzia saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Meridianbet wanakupa Odds kabambe kuelekea mchezo huu. Ingawa ni mechi ya kirafiki,…