Mtibwa Sugar yajipanga kumrejesha Kawemba
BAADA ya Mtibwa Sugar kurejea Ligi Kuu Bara, mabingwa hao wa zamani wako katika mazungumzo ya kumhitaji Saad Kawemba ashike nafasi ya Mtendaji Mkuu wa klabu ikiamini uzoefu wake utakuwa msaada katika maeneo mbalimbali. Chanzo cha taarifa hiyo kutoka ndani ya Mtibwa, kinasema jambo hilo linafanyika chini ya uongozi wa serikali ya mkoa wa Morogoro,…