Polisi Dar kuimarisha ulinzi, usalama Sikukuu ya Idd

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limesema limejipanga kuhakikisha waumini wa Kiislamu wanashiriki na kusherehekea Sikukuu ya Eid al-Adhaa kwa amani na utulivu. Sikukuu hiyo huhusisha ibada mbalimbali katika nyumba za ibada na maeneo ya wazi. Taarifa hiyo imetolewa leo Juni 6, 2025 na Kamanda Kanda Maalumu, Jumanne Muliro na…

Read More

Jinsi Seaweed – na Kuzingatia kwa Mtu Mmoja – Inaweza Kuokoa Ulimwengu – Maswala ya Ulimwenguni

Lesconil, bandari ya uvuvi iliyokatwa na chumvi iliyowekwa ndani ya pwani ya Brittany, kaskazini mwa Ufaransa, husababisha polepole chini ya alfajiri ya Atlantic. Mabwawa ya mawimbi yanang’aa, kupumua na bahari-bila shida lakini kwa kilio cha bahari ya bahari na takwimu moja katika maji ya manjano, goti ndani ya msitu wa mwani. Mtu, Vincent Doumeizel, huinua…

Read More

Lema azuiwa kutoka nchini, Uhamiaji waeleza sababu

Dar es Salaam. Mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema amezuiwa katika mpaka wa Namanga alikokuwa anafanya taratibu za kusafiri kwenda Nairobi nchini Kenya. Kwa mujibu wa Lema, safari yake kwenda jijini humo, ni kwa ajili ya kufanya matibabu ya maradhi yanayomsumbua, lakini alipofika mpakani akaambiwa hawezi kusafiri. Hata hivyo, ilielezwa kuwa…

Read More

Baada ya TLP na SAU, Mgaywa aibukia ADC kuwania urais

Unguja. Mwanasiasa Mutamwega Mgaywa, baada ya kugombea urais wa Muungano mara mbili bila mafanikio kupitia vyama vya Tanzania Labour Party (TLP) na Chama cha Sauti ya Umma (SAU), sasa ameibuka kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na tayari amechukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho. Hayo yamesemwa jana Juni 5,…

Read More

Wizi wa miti waathiri mapambano mabadiliko ya tabianchi

Kondoa. Ofisa Mradi wa Maendeleo ya Jamii, Rajabu Rajabu, amebainisha kuwa Serikali kupitia mamlaka husika imekuwa na mchango katika jitihada za kuhifadhi mazingira, licha ya changamoto za wizi wa miti iliyopandwa na uharibifu unaosababishwa na mifugo. Kwa mujibu wa Rajabu, baadhi ya wanajamii huiba miti inayopandwa, hasa miti ya matunda, jambo ambalo husababisha maeneo hayo…

Read More