Kamati ya Jafo yafunua kichaka cha Wachina Kariakoo
Dar es Salaam. Kikosi Kazi cha utekelezaji cha Kamati ya kuchunguza raia wa kigeni wanaofanya biashara kinyume na sheria Kariakoo, kimebaini uwepo wa raia wa kigeni 183 wanaofanya biashara katika maeneo hayo kinyume na sheria. Kati ya hao, raia 135 wanatoka China, huku waliobaki wakiwa ni kutoka mataifa mengine –Kenya (5), Misri (2), India (2),…