Zambia yaonesha mfano, watoto wapatiwa kinga dhidi ya malaria
Dodoma. Katibu Mkuu wa Taasisi ya Umoja wa Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mapambano dhidi ya Malaria (ALMA), Joy Phumaphi, amesema taasisi hiyo imepiga hatua kubwa katika kusaidia nchi mbalimbali barani Afrika kupambana na malaria. Amesema baadhi ya nchi, ikiwemo Zambia, tayari zimeanza kutoa huduma za kinga kwa watoto walio na umri wa chini…