Serikali yaja mfumo mpya wa fidia kwa wanaoharibiwa mazao na wanyamapori
Dar es Salaam. Serikali iko mbioni kuanzisha mfumo mpya wa uchakataji wa taarifa na kufanya tathmini sahihi ili kubaini kiwango stahiki cha malipo kwa wananchi ambao mazao yao yaathiriwa na wanyamapori. Lengo la hatua hiyo ni kukabiliana na malalamiko ya fidia ndogo kutokana na uharibifu unaosababishwa na wanyama hao waharibifu. Chini ya mpango huo, Serikali…