Wabunge wafanyiwa uchunguzi wa saratani mjengoni

NA MWANDISHI WETU Taasisi ya Saratani Ocean Road, imeweka kambi katika viwanja vya Bunge jijini  Dodoma na kutoa huduma za kibingwa na kibobezi za uchunguzi na tiba kwa wagonjwa wa saratani. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni wiki ambayo Bajeti ya Wizara ya Afya imewasilishwa na kupitishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano la Tanzania. Akizungumza…

Read More

Kutelekezwa eneo la Bwawani kwawaibua wawakilishi

Unguja. Wawekezaji watatu wameonyesha nia ya kuliendeleza eneo la uhifadhi la Bwawani ambalo limekuwa na hali mbaya kimazingira ambayo ina athari za kiafya na taswira mbaya. Eneo hilo linalotazamana na Mji Mkongwe ambao ni mji wa kitalii na urithi wa dunia, limeathiriwa na kutuama maji machafu, kusheheni majani na hata taka kuzagaa. Akijibu maswali ya…

Read More

TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO

Na Saidina Msangi,WF, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Norway umefanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii ikiwemo miradi ya elimu, usambazaji wa umeme vijijini yenye thamani zaidi ya sh. bilioni 188. Dkt. Nchemba alibainisha hayo Jijini Dodoma, alipokutana na kufanya mazungumzo…

Read More

UPENDELEO KWA WAZAWA KATIKA MFUMO WA NEST KUANZA JULAI

Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imeeleza kuwa utekelezaji wa sharti la upendeleo kwa wazawa ndani ya Mfumo wa NeST linatarajiwa kuanza Julai, 2025. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Dkt. Ritta Enespher Kabati, ambaye alitaka kujua…

Read More

Sababu zatajwa ongezeko watoto njiti Zanzibar

Unguja. Wakati idadi ya watoto wanaozaliwa kabla ya umri (watoto njiti) ikiongezeka Zanzibar, Wizara ya Afya imetaja sababu tano zinazochangia tatizo hilo ikiwa ni pamoja na maambukizi kwa mama ikiwemo ya njia ya mkojo (UTI) na njia ya damu na maambukizi ya maradhi ya kujamiiana (STI). Sababu nyingine ni afya na lishe duni ya mama…

Read More

Vita ya maneno Trump, Musk inavyotikisa soko la Marekani

Washington. Kuna methali isemayo ‘panapofuka moshi, kuna moto’, ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano mkubwa kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump na bilionea maarufu wa teknolojia, Elon Musk. Wawili hao ambao kwa muda mrefu walionekana kuwa marafiki wa karibu na washirika wa kimkakati, sasa wamejikuta wakiwa mahasimu wakubwa katika vita ya maneno inayoibua sintofahamu nchini Marekani…

Read More