Serikali yagoma kubadilisha matumizi mashamba ya mpira

Unguja. Licha ya Serikali kukikiri kwamba hakuna tija inayopatikana kwa sasa kutokana na mashamba ya mpira, lakini imegoma kubadilisha matumizi ya mashamba hayo. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameishauri kubadilisha matumizi ya mashamba hayo kuwa ya miwa na karafuu kutokana na kutokuwa na tija katika uchumi wa Zanzibar kwa sasa. Kwa mujibu wa Wizara ya…

Read More

Mahakama yafanya uamuzi kesi Dabi ya Kariakoo

SAKATA la mchezo wa Dabi ya Kariakoo ambalo Yanga imeapa kuwa haitapeleka timu uwanjani Juni 15, mwaka huu, limechukua sura mpya baada ya kuwasilishwa mahakamani na mmoja wa wanachama wa Yanga, ambako hata hivyo chombo hicho cha kutafsiri sheria kimetoa uamuzi rasmi leo, Ijumaa, Juni 6, 2025.  Mchezo huo wa Yanga dhidi ya Simba ambao…

Read More

Haya hapa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano, vyuo

Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano, huku 64,323 wakichaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu. Jumla ya wanafunzi 214,141 wakiwemo wasichana 97,517 na wavulana 116,624 ilibainishwa wana sifa za kuchaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi ikijumuisha…

Read More

Waumini wakumbushwa kusamehe wakisherehekea Eid

Kibaha. Waumini wa dini ya Kiislamu Kibaha Mkoa wa Pwani waliochini ya Taasisi ya Daarual Arqam Learning Centre wameungana katika kuadhimisha Sikukuu ya Eid El-Adh’haa, maarufu kama Sikukuu ya Kuchinja, kwa kuswali pamoja na kusherehekea kwa amani na mshikamano. Swala ya Eid imefanyika mapema asubuhi kuanzia saa 1:30 katika viwanja vya wazi Mailimoja Kibaha ambapo…

Read More

Wanaotorosha mbolea ya ruzuku mpakani waonywa

Songwe. Wafanyabiashara na mawakala wa uuzaji wa pembejeo Tunduma na Ileje mkoani Songwe wametakiwa kujiepusha na uvushaji wa mbolea ya ruzuku kwenda  Zambia na Malawi bila kufuata sheria. Wito huo umetolewa na Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nyanda za juu kusini Joshua Ng’ondya katika mkutano uliowakutanisha mawakala pamoja na wafanyabiashara wa pembejeo uliolenga…

Read More

Mjumbe wa UN – Maswala ya Ulimwenguni

Haja ya haraka ya kurejesha bahari itakuwa lengo la mkutano mkubwa wa kimataifa unaofanyika Nice, Ufaransa, Juni hii. Hii itakuwa mkutano wa kwanza wa bahari ya UN tangu kupitishwa kwa makubaliano ya kisheria kwa uhifadhi na matumizi endelevu ya bioanuwai ya baharini na ulinzi wa maisha katika bahari itakuwa mada kuu. Peter Thompson, mjumbe wa…

Read More

Nafasi 2,224 za ajira zatangazwa serikalini, omba hapa

Dar es Salaam. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara, Idara, Mashirika, na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs), imetangaza nafasi 2,224 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, ujuzi na moyo wa kizalendo kujiunga na utumishi wa umma katika nyanja mbalimbali. Tangazo hili la ajira limetolewa Juni 5, 2025, likiwa ni…

Read More