Bingwa mpya ZPL ni KVZ au Mlandege
BINGWA mpya wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) anatarajiwa kujulikana leo wakati Mlandege na KVZ zitakaposhuka viwanja viwili tofauti kusaka pointi za kufungia msimu wa ligi hiyo. Mlandege inayoongoza msimamo wa Ligi hiyo kwa tofauti na mabao ya kufunga na kufungwa ikiwa na pointi 59 kama ilizonazo KVZ, itakwaruzana na New City iliyoshuka daraja mapema kwenye…