WAGANGA WAKUU WA MIKOA HAKIKISHENI HOSPITALI ZA WILAYA ZINALEA VITUO VYA AFYA.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amewaelekeza Waganga Wakuu wa Mikoa (RMO`S) Kuhakikisha Hospitali zote za Wilaya Nchini zinalea vituo vilivyopo chini yao ili kufanikisha upatikani wa huduma bora za afya kwenye vituo vyote vya ngazi ya afya Msingi. Prof. Nagu ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara ya…