DC KINONDONI AWATULIZA WANANCHI MBOPO MGOGORO WA ARIDHI,AWATAKA WAWE WATULIVU
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam Saad Mtambule amewaahidi wananchi wa eneo la Mbopo kufanya ziara yenye lengo la kusikiliza kero pamoja na kutatua mgogoro wa aridhi kati ya wananchi na DDC ambao ndio wenye eneo hilo. Katika eneo hilo DDC baada ya kuona wananchi wamevamia eneo hilo waliamua kutoa maelekezo kwamba…