BLW laishauri Serikali kuweka taasisi huru kutathmini kodi zinazotozwa Z’bar

Unguja. Mwakilishi wa Tunguu, Simai Mohamed Said ameishauri Serikali kutafuta taasisi inayojitegemea kufanya tathmini ya kodi zinazotozwa Zanzibar, ili kuweka usawa kulingana na matakwa ya kisiwa hicho. Pia ameishauri Serikali kuacha kupanga kodi kwa kuangalia kodi za Tanzania bara kwani maeneo hayo yanatofautiana kwa kila kitu ikiwamo kimazingira, miundombinu na vyanzo vya mapato. Simai ametoa…

Read More

Mashtaka ya uhujumu uchumi, uhalifu wa kupangwa kufunguliwa bila idhini ya DPP

Dodoma. Bunge limepitisha marekebisho ya Sheria ya Uhujumu Uchumi na Uhalifu wa Kupangwa na sasa mashtaka yanayohusiana na makosa chini ya sheria hiyo yatafunguliwa bila kuhitaji idhini ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Hatua hiyo inalenga kuharakisha mchakato wa uendeshaji wa mashauri na kuongeza ufanisi katika utoaji wa haki. Marekebisho hayo yamewasilishwa bungeni kupitia Muswada wa…

Read More