WAZIRI CHANA AIPONGEZA FAMILIA YA CHIFU MKWAWA
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza familia ya Chifu wa Kabila la Wahehe Adam Abdul Sapi Mkwawa II kwa kuendelea kushirikiana vyema na Serikali katika uhifadhi endelevu wa historia adhimu ya Chifu Mkwawa. Mhe. Chana ameyasema hayo leo Juni 5, 2025 Jijini Dodoma alipofunga kikao baina ya wataalam wa…