Sheikh Ponda atajwa kuwania ubunge Dar
Dar es Salaam. Uamuzi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo, unatajwa kuwa huenda kiongozi huyo akawania ubunge katika jimbo mojawapo kati ya manne yanayotajwa jijini Dar es Salaam. Taarifa za ndani ambazo Mwananchi imezipata hivi sasa, timu ya ushauri ya kada huyo mpya…