TFS Kanda ya Kusini Yakabidhi Mbao 5000 Zenye Thamani ya Milioni 37 kwa ajili ya sekta ya elimu Masasi.
Masasi-Mtwara. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Kusini, umekabidhi mbao 5,000 zenye thamani ya shilingi milioni 37 kwa Wilaya ya Masasi, kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya miundombinu ya elimu, Mbao hizo zitatumika katika ujenzi wa madarasa, mabweni pamoja na utengenezaji wa madawati kwa shule mbalimbali wilayani humo. Akizungumza wakati wa kukabidhi…