Mamia ya kesi za kipindupindu hutangazwa kwa siku nchini Sudani – maswala ya ulimwengu

Jibu la kipindupindu la UNICEF huko Sudan. Daktari huchanganya suluhisho la maji mwilini, ambalo huchukua kipindupindu. Mikopo: UNICEF/Ahmed Mohamdeen Elfatih na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Juni 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Jun 05 (IPS) – Mlipuko mbaya wa kipindupindu uligunduliwa katika jimbo la Khartoum la Sudani na ni…

Read More

Rais Samia: Utumishi wa dini ni ule unaoijenga jamii

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amelipongeza Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa wazo la kujenga kituo kwa ajili ya watoto wenye uhitaji maalumu huku akieleza kuwa, huo ndiyo utumishi wa dini. Amesema KKKT imeendelea kuonesha kwa vitendo namna inavyoshirikiana na Serikali kusaidia jamii hasa katika elimu na afya huku ikifanya kazi…

Read More

Wanafunzi 867 wanakaa chini shule ya Mtambani Dar

Dar es Salaam. Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani iliyopo Bunju – Kinondoni jijini Dar es Salaam kumesababisha baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa sakafuni, jambo linalowakosesha utulivu. Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani jijini Dar es Salaam imefanya baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa sakafuni jambo linalowakosesha utulivu….

Read More

Singida Black Stars ifanye jambo Shirikisho Afrika

KIJIWENI hapa tuliuangalia kwa utulivu wa hali ya juu kutokana na mpira uliochezwa katika mechi baina ya Simba na Singida Black Stars katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kwenye Uwanja wa Tan-zanite Kwaraa, mjini Babati mkoani Manyara. Singida BS ilimaliza kibabe mechi kwa ushindi wa mabao 3-1, lakini haikuishia kupata ushindi tu bali…

Read More

Tumewachokoza wakubwa sasa wanatupora | Mwanaspoti

HIZI habari za timu mbalimbali maarufu barani Afrika kuanza mikakati ya kuchukua wachezaji muhimu na tegemeo wa timu zetu kubwa hapa nchini za Simba na Yanga hazitakiwi kuchukuliwa poa. Ilianza kama utani tuliposikia Wydad Casablanca ya Morocco inamhitaji Stephane Aziz Ki. Tukaona kama ni tetesi za siku zote kumbe jamaa walikuwa siriazi buana. Juzi kati…

Read More

Kahama Sixers yaivuruga Veta | Mwanaspoti

TIMU ya mpira wa kikapu ya Kahama Sixers imedhihirisha ubora ilionayo katika Ligi ya Mkoa wa Shinyanga baada ya kuiadhibu Veta kwa pointi 75-37. Mchezo huo ulichezwa kwenye Uwanja wa Veta, katika mchezo wa kwanza kwa timu hiyo, Kahama Sixers iliishinda Risasi kwa pointi 54-46. Katika mchezo huo, Julius George wa timu ya Kahama Sixers…

Read More

Kakolanya: Makipa wageni wana kitu

KIPA wa Singida Black Stars, Beno Kakolanya aliyekuwa anacheza kwa mkopo Namungo, amesema hakuwa na msimu mzuri kutokana na kucheza mechi saba na sasa yupo nje ya kazi, akisema kwake sio poa, japo hana namna kwani msimu umeshaisha. Namungo ilitangaza kuachana na Kakolanya, hivyo alirejea SBS ambako hawezi kucheza hadi msimu umalizike, alikiri endapo kama…

Read More

Jela miaka 30 kwa kumnajisi mtoto wa miaka sita Njombe

Njombe. Mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Makete mkoani Njombe, imemuhukumu Zakayo Sanga (35) mkazi wa kijiji cha Magoye wilayani humo kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kunajisi mtoto wa miaka sita. Hukumu hiyo imetolewa leo Juni 5,2025 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Makete, Irvan Msacky ambapo amesema mshtakiwa alitenda…

Read More

Azam yampotezea Diao, akitajwa APR Rwanda

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Alassane Diao anaweza kutua APR FC ya Rwanda mara baada ya msimu huu kumalizika, kufuatia taarifa za kuaminika kueleza kuwa mabosi wa klabu hawapo tayari kumuongezea mkataba mpya straika huyo aliyekuwa na wakati mgumu tangu arejee kutoka majeruhi. Diao, alijiunga na Azam msimu uliopita Julai 4, 2023, kwa kishindo na kuonyesha…

Read More